Psalms 31:18


18 aMidomo yao isemayo uongo na inyamazishwe,
kwa maana kwa kiburi na dharau
wao husema kwa majivuno
dhidi ya wenye haki.

Copyright information for SwhKC